album cover
Mwalimu
1
Afro-Beat
Mwalimu was released on February 20, 2026 by 8815952 Records DK as a part of the album Mwalimu - Single
album cover
Release DateFebruary 20, 2026
Label8815952 Records DK
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Credits

PERFORMING ARTISTS
Adam sebastian ulimbakisya
Adam sebastian ulimbakisya
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Adam sebastian ulimbakisya
Adam sebastian ulimbakisya
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Meddy Beat
Meddy Beat
Co-Producer

Lyrics

Sijui niimbe jaduu ter na zar
Ama Kuch Kuch HOTAk he (Kuch Kuch HOTA khe)
Ama nimwite tamu kinyama Cha hamu
Ama niimbe kikwako (himihimi himimi)
Maana hata kupenda sikujua kanifunza yeye
Hata kupapasa kanifunza yeye
Hata kufanya sana sikujua kanifunza yeye
Hata kudekeza amenifunza yeye
Ndio maana namwita
Mwalimu fundi mwalimu
Mwalimu fundi mwalimu
Mwalimu fundi mwalimu
Mwalimu fundi mwalimu
Kijumbe fikisha salamu kwa watoto wa elufumbili
Waambie chondechoonde huku hatutaki majangili
Kanituliza fundi si med in china ni India
Wala si kwa mwana malundi na vifua vya bandia
Nnunu ikunyolifya fyobhene ngupasya mwe!
Lingaabhisa kumboka angufwa pabwelu une
Maana hata kupenda sikujua kanifunza yeye
Hata kupapasa kanifunza yeye
Hata kufanya sana sikujua kanifunza yeye
Hata kudekeza kanifunza yeye
Ndio maana namwita
Mwalimu fundi mwalimu
Mwalimu fundi mwalimu
Mwalimu fundi mwalimu
Mwalimu fundi mwalimu
Written by: Adam sebastian ulimbakisya
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...