album cover
Yah Ramadhan
album cover
Yah Ramadhan was released on February 20, 2026 by 11445542 Records DK as a part of the album Yah Ramadhan - Single
ReleasedFebruary 20, 2026
Label11445542 Records DK
BPM160
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Ramadhani
Mwezi mwema ramadhani, karibuni mgeeni
Ufikapo mpka ndani, ujio wako WA thamani
Tuzikinge zetu nafsi, tujiepushe na maasi
Mwezi mwema ramadhani mgeni kwa Kila muumuini
Tufanye yaliomema tupate amarii
Tuache kusengenya tufunge na kuswali
Mjaacha kujikweza Cha Nini kiburi
Walifunga wajawema walikuwa na Imani
Yah ramadhani
Ramadhani ramadhani ramadhani yah ramadhani
Ramadhani ramadhani ramadhani yah ramadhani ramadhani ramadhani ramadhani yah ramadhani ramadhani ramadhani ramadhani yah ramadhani
Mwez mwema ramadhani, tujitahidi tenda mema
Toe sadaka Kwa wajane na yatima
Tufturu Kwa pamoja pia tuswali Tarawee
Tumuombe rabana funga zetu azipokee
Huu mwezi wakuchuma natamani tuendelee
Tumuombe ya kareem funga zetu azipokee
Ramadhani ni faradhi
Wafunge wenye kukidhi
Tutendeane hisani
Tukaribishane majumbani
Ramadhani nguzo ya nne ya dini
Ramadhani tuisome quruan
Ramadhani tiba njema jamani
Ramadhani ramadhani
Ramadhani nguzo ya nne ya dini
Ramadhani tuisome quruan
Ramadhani tiba njema jamani
Ramadhani ramadhani
Ramadhani ramadhani ramadhani yah ramadhani
Ramadhani ramadhani ramadhani yah ramadhani ramadhani ramadhani ramadhani yah ramadhani ramadhani ramadhani ramadhani yah ramadhani
Written by: Ladhasol Band

Loading...