album cover
ZANABE
album cover
ZANABE was released on March 6, 2026 by Black Market Records as a part of the album ZANABE - Single
ReleasedMarch 6, 2026
LabelBlack Market Records
BPM96
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Akuna kumanazi Oya
wapi mnganazi Oya
Ndo tunaingia si ndo tunakanafi Oya
Ona wanatingi zinabiringika bi
Tushamkachanga ndo tunainzagi..
Ndo tunakanafi mazanabe
Ndo tunangiai mazanabe
Ndo tunakanafi mazanabe
Ndo tunangiai mazanabe
Tangu zamani mi ni don tangu dangari
Kijana gangari kijana kubeba makagari
Mnganazi kapa kadhaa na hatutangazi
Mi si Patelo lakini Msupa apewe D
Nikikanafi nakukunja Kama handkerchief
Mi nainua chin nikicheki juu nawacheki chin
Ulimi imeenda gym kisamaki tuko majini
Tumbler ikona gin,
ona uyu analala chin
charji
Akuna kumanazi Oya
wapi mnganazi Oya
Ndo tunaingia si ndo tunakanafi Oya
Ona wanatingi zinabiringika bi
Tushamkachanga ndo tunainzagi..
Ndo tunakanafi mazanabe
Ndo tunangiai mazanabe
Ndo tunakanafi mazanabe
Ndo tunangiai mazanabe
Ukonana shamba leta nipande tumiti,
Topa khaki shingo mali, ndula, matiki,
Naeza kula moto ntingishie kiberiti.
Kitu ikisimama meza ka mwenye-kitty
Nyama ipewe beating denge Woi nakupitty
Sijali ka una jembe bora tu unanidigi
Wanachanganya zote vodo na whiskey
Ni risky, hawaniskii
Akuna kumanazi Oya
wapi mnganazi Oya
Ndo tunaingia si ndo tunakanafi Oya
Ona wanatingi zinabiringika bi
Tushamkachanga ndo tunainzagi..
Ndo tunakanafi mazanabe
Ndo tunangiai mazanabe
Ndo tunakanafi mazanabe
Ndo tunangiai mazanabe
Written by: Brian Salaton Lemaindo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...