album cover
Adhiambo
album cover
Adhiambo was released on May 22, 2026 by ITSYABA/ONErpm as a part of the album Wape Wape - EP
May 22, 2026
LabelITSYABA/ONErpm
LanguageEnglish
BPM100
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Adhiambo supu sana
Unasumbua mtaa (Adhiambo supu sana Unasumbua mtaa)
Adhiambo supa sana
Wote wako idhaaa (Adhiambo supa sana
Wote wako idhaaa)
They use to see me
Now they don’t
Ati sasa they want me
But I don’t
Walianza mwanzo sana
Nikaa wamefika mwisho
Walitaka kula sana ila wakavunja mwiko
Toto Figure Amberay
Mambo safi
Tukiskiza Omaley Rada safi
Udunge kale ka lingerie
Summer Baddie
Adhiambo This Adhiambo that.
Adhiambo supu sana
Unasumbua mtaa (Adhiambo supu sana Unasumbua mtaa)
Adhiambo supa sana
Wote wako idhaaa (Adhiambo supa sana
Wote wako idhaaa)
Ndukese kuweta
Ndukese
Ndukese kuweta
Ndukese
Nienda ngunenge na nesa ukunenga
Ndukese kuweta ni mukwato mwa
Toto toka kisumo Dala
Eee unawachanganya
Unafanya moyo unaendaa mwendo wa kaaas
Tena sana
Call me jatelo man a dollar dollar ee tafurahi sana
Utapiga pamba kali wangu maa designer fayaa
Ever ready paka power
Moto shinda fayaa
Sampuli mambo mbaya
Inaponya shinda dawa
Jakom bila haya
Ntakutunza Jaber
Ntakueka kama malaika eee
Weunimalisa yawaa.
Adhiambo supu sana
Unasumbua mtaa (Adhiambo supu sana Unasumbua mtaa)
Adhiambo supa sana
Wote wako idhaaa (Adhiambo supa sana
Wote wako idhaaa)
Ndukese kuweta
Ndukese
Ndukese kuweta
Ndukese
Nienda ngunenge na nesa ukunenga
Ndukese kuweta ni mukwato mwa
Written by: its yaba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...