album cover
Mabeste Tu
14
Alternative
Mabeste Tu was released on March 13, 2026 by Flying Radio as a part of the album Mabeste Tu - Single
album cover
Release DateMarch 13, 2026
LabelFlying Radio
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Flier
Flier
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Benson Mhando
Benson Mhando
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Flier
Flier
Producer

Lyrics

Wambo
Unanimalizanga
Hmm
Wambo yeah
Ona kile wafanya
Najua ulisema tuwe mabeste tu
Lakini nimeshindwa ma
Wambo
Wewe tu ndio nataka
Niliambiwa na mutual friend wanidai
Lakini uko shy
Mbona saa hii
Unajifanya
Twapoteza masaa mpenzi
Ukinigusa hand nafurahi
Kila time our eyes za align
Unanibamba
Oh Wambui
Najua wengi wanamjaribu my baby
Wapuzi hao
Lakini mpenzi hawawezi fanya ka mimi
Wapuuze hao
Oh mpenzi
Niambie kile ntafanya (Niambie)
Niambie kile ntafanya
Ndio ukubali kuwa na mimi
Wambo
Unanimalizanga
Unanimalizanga (Unanimalizanga)
Niliambiwa na mutual friend wanidai
Lakini uko shy
Mbona saa hii
Unajifanya
Twapoteza masaa mpenzi
Ukinigusa hand nafurahi (Ukinigusa hand)
Kila time our eyes za align
Unanibamba (Ukinigusa hand)
(Ukinigusa hand, yeah)
(Ni radi)
Moyo nishakupea
Usiniwache nikibembea baby
Moyo nishakupea
Usiniwache nikibembea mpenzi
Moyo nishakupea
Alright
(Yeah, yeah, alright)
Written by: Benson Mhando
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...