album cover
Jaa Jaa
358
Reggae
Jaa Jaa was released on March 20, 2026 by Toxic Lyrikali / Mboka Doba Ltd as a part of the album Jaa Jaa - Single
album cover
Release DateMarch 20, 2026
LabelToxic Lyrikali / Mboka Doba Ltd
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Toxic Lyrikali
Toxic Lyrikali
Rap
COMPOSITION & LYRICS
Toxic Lyrikali
Toxic Lyrikali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
hAtikvah
hAtikvah
Producer
ABH sound
ABH sound
Producer

Lyrics

Mboka Doba
Kwa pori nimejaa, mangiri si ma mia
Niko na Jah, kiburi full mia
One man na nimejaa, nani ananisimamia?
Niko na Jah-Jah-Jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Pori imejaa, mangiri si ma mia
Niko na Jah, kiburi full mia
One man na nimejaa, nani ananisimamia?
Niko na Jah-Jah-jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Jah-Jah, ndio nimejaa jaa jaa
Jah-jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Niko na Jah-Jah-Jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Jah-jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Niko na Jah-Jah-Jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Jah-jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Niko na Jah-Jah-Jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Niko na, niko na
Luku daily nawapigia ni swafi
Doba na drop mwaki
Mashow ni mingi adi sina ithaa
Ya kupatana na bro ama manzi
Na mandungu wa dhati
Nawashow hawaradi sina ithaa
Najua saa ingine mi' hu do vitu ha'ifai (still)
Nimerauka niko mzima uhai
Seti kia London niskie niko Shanghai
Health ni fully lakini sick ndio style
Umenipatia ganji hainishtui wakibanja
Bukla doba zangu wanabanju na wananikanja
After najiskizia mi' ki-ganja
Nipeleke na rada mi sio mjanja Jah-Jah
Wardrobe imejaa-jaa-jaa
Kwa DM ni madem wamejaa-jaa-jaa
Ma adui wamejaa-jaa, jaa-jaa-jaa
Ukona mi' ka daila na siendangi ibada
Jah-Jah, ndio nimejaa jaa jaa
Jah-jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Niko na Jah-Jah-Jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Jah-jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Niko na Jah-Jah-Jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Jah-jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Niko na Jah-Jah-Jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Niko na, niko na
Niko na Jah-Jah umenieka juu juu wanadhani ni voodoo
Pira mnyama sikuanza na kadudu
Guide me nisimake decision za udu
Niondolee ma arif wananibonga pupu
Bad but naomba sana Hossana
We unifungulia mngola sitabishana
We ndio Baba nimelelewa na mama pekee
Wewe ndio Jah-Jah pekee
Kwa pori nimejaa, mangiri si ma mia
Niko na Jah, kiburi full mia
One man na nimejaa, nani ananisimamia?
Niko na Jah-Jah-Jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Pori imejaa, mangiri si ma mia
Niko na Jah, kiburi full mia
One man na nimejaa, nani ananisimamia?
Niko na Jah-Jah-jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Jah-Jah, ndio nimejaa jaa jaa
Jah-jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Niko na Jah-Jah-Jah, ndio nimejaa-jaa-jaa
Written by: Toxic Lyrikali
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...