album cover
Uhuru
99
Christian & Gospel
Uhuru was released on April 22, 2026 by 1160888 Records DK as a part of the album Uhuru Ep - EP
album cover
Release DateApril 22, 2026
Label1160888 Records DK
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM75

Lyrics

Nguvu za shetani
Zimeshindwa shindwa
Bwana yesu kakanyaga kichwa
Kichwa cha shetani
Nguvu zako siko wapi sasa
Dhambi, mauti
Nguvu zako zikowapi
Sasa
Nimepata uhuru, uhuru, uhuru
Nimepata amani amani amani
Nimepata uhuru, uhuru, uhuru
Nimepata amani amani amani
Ame zinyanganya funguo
Funguo za mamlaka
Shetani na jeshi lake
Hawana nguvu tena
Nikiita jina lake
Mapepo yatoroka
Eh eh eh
Bwana unanguvu
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Ubarikiwe bwana yesu
Ubarikiwe eh eh
Eh eh ubarikiwe
Eh eh uinuliwe
Eh eh uabudiwe
Eh eh ubarikiwe
Eh eh ubarikiwe
Eh eh uinuliwe
Eh eh uabudiwe
Eh eh ubarikiwe
Eh eh ubarikiwe
Eh eh uinuliwe
Eh eh uabudiwe
Eh eh ubarikiwe
Nimepata uhuru, uhuru, uhuru
Nimepata amani amani amani
Nimepata uhuru, uhuru, uhuru
Nimepata amani amani amani
Written by: Ezekiel John
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...