album cover

Sumbua

545Hip-Hop/Rap2025
album cover
Sumbua was released on December 10, 2025 by Watotowakorofi as a part of the album Sumbua
AlbumSumbua
ReleasedDecember 10, 2025
LabelWatotowakorofi
LanguageEnglish
BPM100
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Intro]
Mziki iko kwa damu ka hujacheki we fahamu
Ati mziki iko kwa damu we fahamu
[Verse 1]
Napeleka polepole napeleka mtaratara
Baby ni amboseli ama huko Maasai Mara
Ona hao mafala wakinicheki wanagwaya
Tenje nimeshika surba inakaa kiwaya
Fegi nakiwasha mbele ya watu bila haya
Nataka nishike ganji nijenge keja ya kifire
Smoke hao mafala wakisema naretire
Mziki iko kwa damu kuna watu nainspire
Kwani how many times have they tried to overstep me
Mamanzi walinicheza siku hizi they cant get me
OMG napiga lap kwa huyu pedi
Akili ishike fuse skiza mstari nikimedi
Bars ziburuke speaker zipasuke
Buda rada gani nimeoga ndio zishuke
Initoke nilipuke
[Chorus]
So hivi basi nimekuja sana
Wauliza nani si ni mimi stunna
Na kusumbua nasumbua sana
Na kusumbua nakusumbua sana
So hivi basi nimekuja sana
Wauliza nani si ni mimi stunna
Na kusumbua nasumbua sana
Na kusumbua nasumbua sana
[Verse 2]
Studio niko locked in 24/7
Babu anabonda akinicheki huko heaven
Juu ya venye nathigitha hao makwela
I swear hii si jokes kuna venye wamebeba
Wacha tu nicheke
Bado kuna fala anangoja niteseke
Venye nawatrace huko juu kama mwewe
Sa ni ile saa ni ile saa ya ya ya kiveve
[Bridge]
Cheki huyo kwela ako na kidumper
Vibu ni hatari mpaka wanawonder
Sijasema jina wanawika stunna
Cheki huyo kwela ako na kidumper
Vibu ni hatari mpaka wanawonder
Sijasema jina wanawika stunna
[Chorus]
So hivi basi nimekuja sana
Wauliza nani si ni mimi stunna
Na kusumbua nasumbua sana
Na kusumbua nakusumbua sana
So hivi basi nimekuja sana
Wauliza nani si ni mimi stunna
Na kusumbua nasumbua sana
Na kusumbua nasumbua sana
Written by: Jeremy Maina

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...