album cover
Wide Impact
album cover
Wide Impact was released on March 27, 2026 by Truestbyheart Music as a part of the album Wide Impact - Single
ReleasedMarch 27, 2026
LabelTruestbyheart Music
BPM87
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Am on some gangster shit flip a fleet
Change of course I take new seat
Headin' to the peak kila siku ya wiki
Shughuli za maslahi zenye mantiki
Vipi unawaza juu ya sisi
Tunawaza kuepuka ufilisi
Ku_pa_ta kile tuna-miss
Kwani tunaku-piss mbona una-diss
Bado unajiuliza tunayo majibu
Mishe mishe tunakimbiza mipango kihasibu
Utendaji wa kusulubu matokeo ya adabu
Mashahidi wanatubu tuna gadhabu
Usishangae naadhibu usije karibu
Ukija taratibu matibabu kitabibu
Sitaki visababu ukiharibu nakutibu
Baada ya tiba kuna maji mvinyo wa zabibu
Ukihitaji burudani yoh feel me flow
Nipate nikighani am cul with the show
Sometimes na blast naku-blow
Hizo minds kwa rhymes nazo-draw
Abstract paint ukielewa picha kubwa
Concept flani yenye mambo makubwa
Execution Kabwe impact Kitwe
Zaire Bururi na kigali wasipitwe
Kenya, Uganda Zimbambwe kwa Mugabe
Ikafika pande zote utawala wa kibabe
Mpaka Bukinabe sio kwa mazabe
Mbona wanakubali huu ujuzi wakitabe
Written by: Robert Mbassy
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...