album cover
Juma
348
Afro-Beat
Juma was released on April 9, 2026 by Mavooo as a part of the album Juma - Single
album cover
Release DateApril 9, 2026
LabelMavooo
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM187

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Man doka
Man doka
12-String Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Abdul issa mohamed
Abdul issa mohamed
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Conable
Conable
Producer

Lyrics

Man doka jogoo la shamba
Ulaiyani kama gwantanamu
Nchi gan asokwenda
Club gani asofika
Skani gan asofika
Juma kontawa
Babelon iiz
Muhuni kama lodi iizi
Ashawahi kuoa akaacha
Akaoma haendeleze anasa
Juma ashawahi kuoa akaacha
Yani mpaka kwa shemeji anadata
Eti badala ya kujenga kanunua gari
Na akaenda kuoanga kando ya bahari
Jumaa baada ya kwenda kujenga kanunua garii
Na akaenda kupanga kando ya bahari
Jumaaa Leo juma analuona
analuona
Jumaa juma Leo analuona
 analuona
Alizichanga changa alizichanga
Alizichanga izo faranga ili aweze kutoka
Kile alicho wania kweli kikatimia
Baada ya muda mfupi juma akazamia
Kila akipiga sim alisema anakula nono
Bongo maisha magumu
 anasema twenda msimamo
Alifaidika alichopata analizika
Akatosheka maisha sio limbwata
Ila bongo akatuma chesa
Juma ashawahi kuoa akaacha
Yani mpaka kwa shemeji anadata
Eti badala ya kujenga kanunua gari
Na akaenda kuoanga kando ya bahari
Jumaa baada ya kwenda kujenga kanunua garii
Na akaenda kupanga kando ya bahari
Jumaaa leo juma analuona
analuona
Jumaa juma leo analuona
 analuona
Written by: Abdul issa mohamed
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...