album cover
Nikuite Nani
album cover
Nikuite Nani was released on April 9, 2026 by 12330338 Records DK as a part of the album Toroka Magetoni
April 9, 2026
Label12330338 Records DK
LanguageEnglish
BPM93
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Yeye yeyeyeee yeyee ouu
Jax Platnumz wouwooo
Wowo wowwuwo
Mzuba beata
Laiti ungekuwa kipimo ungenipima aah
Uone jinsi gani
Ninavyo kuwa juu yako
Siwezi lala
Yeyeyeee
Nimelemazwa napenzi lako
Labda niseme
Kipi kibaya nimefanya kwako
Kwenye dimbwi la mapenzi
Nisha zama
Hisia zangu jina mizi
Zinakaba
Nipo
Kama vile nyoka
Na shindwa kuuma
Mapezi yananguvu kubwa
Mwenyewee si unaonaaaa
Hakuna makama ya mapezi
Labda niende kujishtakia
Ule mzigo wamuiba
Nipo tayari kusikia
Nikwite nani
Nikwite nani
Nikwite nani
Nikwite nani
Nikwite nani
Napia sitokuliza
Kwenye giza we ndo mwanga
Wakuziteka hisia zangu kibusara
Nikwite uwa
Unae chanua
Au nikwite malikiaaa
Furaha ya nafsi bayana
Mapenzi hayajaumbwa kwa ubaya
Usije ukanitoa kafara
Wengine sitaki sikia
Apo imezama akili yangu
Nipo
Kama vile nyoka
Na shindwa kuuma
Mapezi yananguvu kubwa
Mwenyewee si unaonaaaa
Hakuna makama ya mapezi
Labda niende kujishtakia
Ule mzigo wamuiba
Nipo tayari kusikia
Nikwite nani
Nikwite nani
Nikwite nani
Nikwite nani
Nikwite nani
Written by: Justin Ossiah Mwaikuka
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...