album cover
Kiburi
83
Music
Kiburi was released on April 15, 2026 by KUSHMAN as a part of the album Kiburi - Single
album cover
Release DateApril 15, 2026
LabelKUSHMAN
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kush Man
Kush Man
Accordion
KUSHMAN PEDIWAMAGENGE
KUSHMAN PEDIWAMAGENGE
12-String Guitar
COMPOSITION & LYRICS
KUSHMAN PEDIWAMAGENGE
KUSHMAN PEDIWAMAGENGE
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Shanty Bobo
Shanty Bobo
Producer
KUSHMAN PEDIWAMAGENGE
KUSHMAN PEDIWAMAGENGE
Assistant Producer

Lyrics

‎(intro)
‎Wakishindwa kukutumia vibaya
‎Wanadai uko  na kiburi
‎(Verse)
‎Nilisema mapenzi nawacha wapi?
‎Ngwai na  usherati nawacha wapi?
‎Nlisema Pombe  nawacha wapi
‎Kumbe nikwa counter niliwacha weeh!
‎(Chorus)
‎Mambo yangu ni ngumu
‎Nliachia mungu
‎achia achia mungu
‎Uwezi nihandle we achia mungu
‎Achia achia mungu
‎Mambo yangu ni ngumu
‎Nliachia mungu
‎Ahia achia achiaungi
‎Utawezana na Mimi we achia mungu
‎Achia achia mungu
‎(Verse)
‎Wakishindwa kukutumia vibaya
‎Wanadai uko  na kiburi
‎Wakishindwa kukubeba ndogo
‎kukubeba ufala
‎Wanadai uko na kiburi excuse me
‎Sina kiburi roho yako ndio mbaya
‎Siezi kubali kutumika vibaya
‎Ego ikubali nijipendekeze
‎Ujifanye sukari nikubembeleze...
‎(Chorus)
‎mambo yetu ni ngumu, we  achia mungu
‎Achia achia achia mungu
‎Uwezi elewa, we achia mungu
‎Achia achia achia mungu
‎mambo yetu ni ngumu, we  achia mungu
‎Achia achia  achia mungu
‎Shughulika na Yako yetu achia mungu
‎Achia achia  achia mungu
‎(Verse)
‎Uwezani na mambo yangu (uwezani)
‎We shughulika na yako (skia)
‎Mambo yangu ni ngumu
‎Uwezi elewa mambo yangu kawesi mungu
‎Tunaishi pamoja
‎Tunajifunika duve moja
‎Kuoga na tunaoga pamoja
‎ nguo zinamatch, tunakulia sahani moja
‎Hapa kuachana Utangoja utachoka
‎Wanashanga siushinda kejani daily,
‎Hatusikosi kupiga sherehe kila wikendi
‎Uezi elewa mambo yetu
‎Uwezi elewa zetu zetu "
‎(Chorus)
‎Mambo yangu ni ngumu
‎Nliachia mungu
‎achia achia mungu
‎Uwezi nihandle we achia mungu
‎Achia achia mungu
‎Mambo yangu ni ngumu
‎Nliachia mungu
‎Ahia achia achiaungi
‎Utawezana na Mimi we achia mungu
‎Achia achia mungu
‎ (verse)
‎Kama nameless amenipa juju
‎Mambo yetu ni ngumu
‎Tuliachana na bado  tunapigana mamunju
‎Hii relationship imeshikiliwa na rungu
‎Mangwai na juju
‎Ata Akicheat hatutaachana
‎Ita Mosiria ni uchungu sanaa
‎Uwezani na mambo ya watu mbekse
‎Nikama kuseparate mluhya na Mbese
‎Mpoa wangu ni kipofu mini kiziwi
‎Advice hatuoni hatuambiwi
‎Opinions zenyu hatuoni hatuskii
‎Mambo za watu hatuskii
‎(Chorus)
‎Mambo yetu ni ngumu we  achia mungu
‎Achia achaia achia mungu
‎Kuachana ngumu tuliachia mungu
‎Achia achia mungu
‎Si ni kichwa ngumu we achia
‎Achia achaia achia mungu
‎Kuachana ngumu tuliachia mungu
‎Achia achia mungu
Written by: KUSHMAN PEDIWAMAGENGE
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...