album cover
Ngambo
5
Music
Ngambo was released on March 27, 2026 by Badzone Records as a part of the album Ngambo - Single
album cover
Release DateMarch 27, 2026
LabelBadzone Records
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
TYSON BADNESS
TYSON BADNESS
Accordion
COMPOSITION & LYRICS
TAYSON CHRISANT
TAYSON CHRISANT
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
TYSON BADNESS
TYSON BADNESS
Producer

Lyrics

Mi ninayo mengi moyoni x2
Ya kuwaeleza
Kuna muda tamani niende ng’ambo,
Nikakutane na baba na mama wa kambo,
Ila ila
Subira na wingi wa mambo,
Ila ila subira na wingi wa mambo
Mi ninayo mengi moyoni x2
Ya kuwaeleza
Ila ila
Subira na wingi wa mambo
O
Ila
Subira na wingi wa mambo
O
Vers 1
Waaaa
Hawataki niishi Dar
Wanataka nirudi Kijijini
Waseme kachoka
Kachoka kachakaa
Tunaskia anavuta Bangi
Amepatwa na ukichaa
Walimwengu hawa
Wana roho mbaya
Usiku ndo wana kuwaga tu mavampaya
Jumapili kanisani
Utadhani ndo wasaidizi wa yesu
Mtaani tabia zao ni kichefu chefu
Mi ninayo mengi moyoni x2
Ya kuwaeleza
Kuna muda tamani niende ng’ambo,
Nikakutane na baba na mama wa kambo,
Ila ila
Subira na wingi wa mambo,
Ila ila subira na wingi wa mambo
O
Mi ninayo mengi moyoni x2
Ya kuwaeleza
Ila ila
Subira na wingi wa mambo
Oooo
Ila
Subira na wingi wa mambo
Oooo
Waaaa
Hawataki niishi kwangu
Wanataka nirudi kwa mama wa kambo
Waseme nimechoka
Nimechoka nime chakaa
Eti mi nakunywa pombe
Nimepatwa na ukichaa
Walimwengu hawa
Wana roho mbaya
Usiku ndo wana kuwaga tu mavampaya
Ijumaa msikitini
Utadhani ndo wasaidizi wa mtume
Mtaani tabia zao eeeeeeh ni kichefu chefu.
Mi ninayo mengi moyoni x2
Ya kuwaeleza
Written by: TAYSON CHRISANT
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...