album cover
Embargo
5,430
Worldwide
Embargo was released on January 1, 1998 by Mondo Melodia as a part of the album Ya...
album cover
AlbumYa...
Release DateJanuary 1, 1998
LabelMondo Melodia
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM87

Music Video

Music Video

Credits

Lyrics

Leo nasaili
Ju mimi sikuelewa mambo yale
Unasema embargo
Ni njiya ya kuleta amani kwangu
Kwa vile naona
Ni watu wanahangayika bure
Unisamehe sana
Ju mimi sione uzuri wake
Bwana mukubwa
Uje inazimiya
Watu wanakufa na njala
Wanatesera
Inci inazimiya
Inakosa dawa na cakula
Ni amani gani
Inaleta njala na maladi
Bwana mukubwa
Uje inazimiya
Watu wanakufa na njala
Wanatesera
Written by: Khadja Nin, Nicolas Fiszman
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...