album cover

Malaika (Live)

40,740African1979
album cover
Malaika (Live) was released on July 3, 1979 by Siyandisa as a part of the album Au Theatre Des Champs Elysées (Live 1979)
ReleasedJuly 3, 1979
LabelSiyandisa
BPM74
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

We'd now like to take you to Tanzania
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
WoO. Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
WoO. Ningekuoa Malaika
Ningekuoa Malaika
Ningekuoa Malaika
Written by: William Fadhili

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...