Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Emachichi
Emachichi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Emachichi
Emachichi
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Amenisamehe (Amenisamehe)
Amenisamehe (Amenisamehe)
Katika jina lake Yesu amenisamehe
Katika jina lake Yesu amenisamehe
[Verse 2]
Amenibariki (Amenibariki)
Amenibariki jamani (Amenibariki)
Katika jina lake Yesu amenibariki
Katika jina lake Yesu amenibariki
[Verse 3]
Ameniokoa (Ameniokoa)
Ameniokoa (Ameniokoa)
Katika jina lake Yesu ameniokoa
Katika jina lake Yesu ameniokoa
[Verse 4]
Amenifariji (Amenifariji)
Amenifariji jamani (Amenifariji)
Katika jina lake Yesu amenifariji
Katika jina lake Yesu amenifariji
[Verse 5]
Anipa amani (Anipa amani)
Anipa amani (Anipa amani)
Katika jina lake Yesu anipa amani
Katika jina lake Yesu anipa amani
[Verse 6]
Anipa furaha (Anipa furaha)
Anipa furaha jamani (Anipa furaha)
Katika jina lake Yesu anipa furaha
Katika jina lake Yesu anipa furaha
[Verse 7]
Anipa upendo (Anipa upendo)
Anipa upendo jamani (Anipa upendo)
Katika jina lake Yesu anipa upendo
Katika jina lake Yesu anipa upendo
[Verse 8]
Amenisamehe (Amenisamehe)
Amenisamehe jamani (Amenisamehe)
Katika jina lake Yesu amenisamehe
Katika jina lake Yesu amenisamehe
[Bridge]
Nzambe nabiso aza malamu iyeeye
Nzambe nabiso aza bolamu iyeeye
Nzambe nabiso aza bokasi iyeeye
Nzambe nabiso aza malamu iyeeye
Nzambe nabiso aza bokasi iyeeye
[Bridge]
Sanzola ye, yembela yeeye
Sanzola ye, tikisa yee
Sanzola ye, yembela Nzambe nabiso aza bokaai iyeeye
Written by: Emachichi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...