album cover
album cover
NJORAA was released on May 26, 2026 by 4TH YARD RECORDS as a part of the album NJORAA - Single
ReleasedMay 26, 2026
Label4TH YARD RECORDS
BPM95
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Uh
Back again
Inarecord kweli?
Iko bie, iko bie, iko bie, iko bie
Uh, skia
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapora
Nili-elevate siku hizi sishindi kwa corner
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapona
Nili-elevate siku hizi sishindi kwa corner
Mziki kwangu ndio the main hustle, sinanga side hustle
Nikisunda verse urushe cash, hapo
Wanaboronja tuki-link wana-dash juu ya makahasho
Wanjiita mbogi na kwa block wana-come hapo
Mbona una-dash young fella kwani hutaki kuona njora
Kwa mneti wana-yap lakini ground wananyora
Siku hizi siendi njei siku hizi nanusa ma-cola
Nili-elevate siku hizi sishindi kwa corner
Mbona una-dash young fella kwani hutaki kuona njora
Kwa mneti wanayap na kwa ground wananyora
Siku hizi siendi njei siku hizi nanusa ma-cola
Nili-elevate siku hizi sishindi kwa corner
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapora
Nili-elevate siku hizi sishindi kwa corner
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapona
Nili-elevate siku hizi sishindi kwa corner
Mi niko mafutani kama tattoo haijapona
We hulala na madem mi danse nalala na corner
Jumper kwa ukuta ya dem umepanga kuoa
Mahali tunaskia jina yako tunaichongoa
Mi nikatie keki hizi bills hazijilipi
Tulipatana kwa matatu hata senke mi silipi
Nawaachia ju sitaki kupelekwa Kamiti
Nawaambia mara ya kwanza pili hapa si kurahisi
Utatoka mtrr huskii ndio kumeanza kunyesha
Of course niko na kiburi mi ni fan wa Manchester
Pussy **** hapana kalia kiti ya member
Lips zinasonga na siskii kenye unasema
Tuelewane hakuna bei inaitwa hatuwezi kosana
Mbleina hunijui, we unanionanga
Wana-hate kijana mdogo akipanga mboka
Nashukisha loud na chapati choma
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapora
Nili-elevate siku hizi sishindi kwa corner
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapona
Nili-elevate siku hizi sishindi kwa corner
Zimenikashi zimetiripo hapo ndio sasa mi nimepona
Hakuna dashi tukiwa rikoo nili-reform nikakuwa stoner
Utaekewa mchele ulale ndio ujue si wali bora
Hali si hali but si huwanga hali bora
Kuna place ukifika bro, punguza kung’ora
Hapa si Carnivore, hapa mic zote ni za wakora
Bado mi ni burglar hii usanii kwangu tu ni para
Upini ya tumbo naskia alimwaga Maasai Mara
Unamwaga blood ukuwe crip, hatutambui colour
Na si madharau bado morning tunakukumbuka kwa sala
Gangsta rap ni old school, hii mziki ni ya robbery
Tuko kwa trap vi-old school, hii mziki hainanga forgery
Siezi blame your understanding
Najua inakuwanga very hard ku-understand me
Alikuwa anafikiria nightrunning ni ya wachawi, hadi ile day walimchai
Kuna wenye wako night learning na matawi, na si majani ya chai
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapora
Nili-elevate siku hizi sishindi kwa corner
Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora
Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora
Kama si mziki ningekuwanga nawapona
Nili-elevate siku hizi sishindi kwa corner
Written by: Frank White

Loading...