album cover
Uvumba
Afro-Beat
Uvumba was released on April 29, 2026 by Professor Buru as a part of the album Uvumba - Single
album cover
Release DateApril 29, 2026
LabelProfessor Buru
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Credits

PERFORMING ARTISTS
Professor Buru
Professor Buru
Harmony Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Burhani Burhani Mtengwa
Burhani Burhani Mtengwa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Professor Buru
Professor Buru
Assistant Mastering Engineer

Lyrics

Haleleuya
Haleluya
Aminaaaa
Giza nene limetoweka, (limetoweka)
Nuru yake inatambaa, (inatambaa)
Kila kiumbe kinashangilia, (kinashangilia)
Kila kiumbe kinashangilia, (kinashangilia)
Kusifu wema wa Muumba, (wa Muumba)
Giza nene limetoweka, (limetoweka)
Giza nene limetoweka, (limetoweka)
Giza nene limetoweka, (limetoweka)
Giza nene limetoweka, (limetoweka)
Nuru yake inatambaa, (inatambaa)
Kila kiumbe kinashangilia, (kinashangilia)
Kila kiumbe kinashangilia, (kinashangilia)
Kusifu wema wa Muumba, (wa Muumba)
Giza nene limetoweka, (limetoweka)
Giza nene limetoweka, (limetoweka)
Giza nene limetoweka, (limetoweka)
Oioo
Haleluya
Oioo
Haleluya
Oioo
Haleluya
Halelu, Aminaa
Halelu, Aminaa
Halelu, Aminaa
Ukuu wako hauna kikomo, (hauna kikomo)
Upendo wako hauna mfano, (hauna mfano)
Sauti zetu tunaziunganisha, (tunaziunganisha)
Sauti zetu tunaganyizako, (tunaziunganisha)
Kama uvumba mbele zako, (mbele zako)
Kama uvumba mbele zako, (mbele zako)
Oioo
Haleluya
Oioo
Haleluya
Oioo
Haleluya
Ukuu wako hauna kikomo, (hauna kikomo)
Upendo wako hauna mfano, (hauna mfano)
Sauti zetu tunaziunganisha, (tunaziunganisha)
Sauti zetu tunaganyizako, (tunaziunganisha)
Kama uvumba mbele zako, (mbele zako)
Kama uvumba mbele zako, (mbele zako)
Aminaa, halelu
Halelu, Aminaa
Halelu, Aminaa
Halelu, Aminaa…
Written by: Burhani Burhani Mtengwa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...