album cover
album cover
One By One was released on May 15, 2026 by Universal Music Kenya Limited as a part of the album One By One - Single
May 15, 2026
LabelUniversal Music Kenya Limited
BPM104
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[PreChorus]
Yu wapi aje ajionyeshe
Yule wa ukweli ajionyeshe
Nishamposti wa kwangu sina mwingine
Hata mkeshe hakuna mwingine
Wapi aje ajionyeshe
Yule wa ukweli ajionyeshe
Nishamposti wa kwangu sina mwingine
Hata mkeshe hakuna mwingine
[Chorus]
Waje one by one
Waje two by two
Waje na rafiki zake wanishike
Waje na commitee yake wanishike
Waje one by one
Waje two by two
Waje na rafiki zake na commitee yake na mashoga wake
[Verse 1]
We Storyteller
Chocha bana chai yako tuliserviwa jana
Tunakujua unapendanga tuschana
Twa size six to ten ikienda sana
One by one but mi ndio number one
Hizo ni kesi tunasolvia chumbani
One on one kitandani
Mambo ya ndani hatufanyi hadharani
Hata wa kuja na kamati atatoka wapi
Na ni lazima watakushtaki
Kama huwataki na figure za turkey
So mandem anaingiliwa kati
Hata wa kuja na kamati atatoka wapi
Na ni lazima watakushtaki
Kama huwataki na figure za turkey
So mandem anaingiliwa kati
[PreChorus]
Yu wapi aje ajionyeshe
Yule wa ukweli ajionyeshe
Nishamposti wa kwangu sina mwingine
Hata mkeshe hakuna mwingine
Wapi aje ajionyeshe
Yule wa ukweli ajionyeshe
Nishamposti wa kwangu sina mwingine
Hata mkeshe hakuna mwingine
[Chorus]
Waje one by one
Waje two by two
Waje na rafiki zake wanishike
Waje na commitee yake wanishike
Waje one by one
Waje two by two
Waje na rafiki zake na commitee yake na mashoga wake
[Verse 2]
We danganya si ulikua kwangu juzi
Sipendi games mi sipendangi upuzi
Hunielewi basi tufungue kamusi
We ni wangu hata ufanye harusi
Ooh basi mi nitamaintain
Ni siri yetu kutoboa ni mistake
Nikichizi saa zingine sina breaks
Hata turudiane bado haitakua the same
Si unipate kwa bar
Ka hunidai nitakatia Kama
Sitakuchase kila saa aah
Si mi ndio price utaregret kunikata
[PreChorus]
Yu wapi aje ajionyeshe
Yule wa ukweli ajionyeshe
Nishamposti wa kwangu sina mwingine
Hata mkeshe hakuna mwingine
Wapi aje ajionyeshe
Yule wa ukweli ajionyeshe
Nishamposti wa kwangu sina mwingine
Hata mkeshe hakuna mwingine
[Chorus]
Waje one by one
Waje two by two
Waje na rafiki zake wanishike
Waje na commitee yake wanishike
Waje one by one
Waje two by two
Waje na rafiki zake na commitee yake na mashoga wake
Written by: DTX, Maandy, Nviiri The Storyteller, Ssaru
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...