album cover
Jidai
album cover
Jidai was released on May 15, 2026 by UMIJam as a part of the album Jidai - Single
ReleasedMay 15, 2026
LabelUMIJam
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

unasifa nzuri tenzi za mapenzi ukweli nakwambia
iwe baridi maumivu yako mintakuchua
mi na wewe tumekutana toka enzi
mi na wewe ni halali kwa mwenyezi
wendo tunda langu mimi
wendo dawa yangu mimi
unanijua vyema mimi
safarini we na mimi
safari za dubai baby tuflight pamoja
wasopenda tujidai tuwashangaze vihoja
minakwamini baby minakwamini darlin
sema na mimi baby baki na mimi darlin
si unafurahia uwepo mamie safarini
si unajidaia weweeeeeeee
we si si unafurahia uwepo mamie safarini
si unajidaia weweeeeeeee
sema nini unachohitaji baby nami ntakuletea
sema nini unachohitaji mamy kwako nishakolea
umenipa nilewe sababu ni wewe twang'ang'ana pamoja
mi niwako milele sina mwingine watajengahoja
Baby mbona wanasema unapendeza sana
Baby mbona wataiga tunavyopendana
safari za dubai baby tuflight pamoja
wasopenda tujidai tuwashangaze vihoja
minakwamini baby minakwamini darlin
sema na mimi baby baki na mimi darlin
si unafurahia uwepo mamie safarini
si unajidaia weweeeeeeee
we si si unafurahia uwepo mamie safarini
si unajidaia weweeeeeee
Written by: Romie Musictz
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...