album cover
Vitani
album cover
Vitani was released on July 24, 2026 by 2026 Liboi as a part of the album HATUA
AlbumHATUA
ReleasedJuly 24, 2026
Label2026 Liboi
BPM96
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Tuko vitani,
Kubwa sana
Tuko vitani
Mishale mikuki,
Risasi na mawe
Hata mikuki
Sasa vita tunayoijua ni ile ya kuishi
Ile ya kuishi
Ukabila moyoni
Walipanda mbengu
Twachukiana kwetu
Lakini hao,
Watoto wao wanasoma
Pesa zetu wanachota
Mitaani tunasota
Ma bwana zetu wana uoga
Afya yetu yazorota
Masomo yetu yanazorota
Mioyo yet tuna uoga
Na kila siku twaogopa hao
(Hao) Hao hao
(Hao) Wana tupiganisha
(Hao) Wana tutenganisha
(Hao)
Kupaka nchi rangi
Sasa ndio kazi
Kila siku risasi weeee
Kura yako wauza
Kulia kushoto wanakudanganya
Mbona huoni hivyo?
Hao wanasoma
Pesa zetu wanachota
Mitaani tunasota
Na ndugu zetu wana uoga
Afya yetu yazorota
Masomo yetu yanazorota
Mioyo yet tuna uoga
Na kila siku twaogopa hao
(Hao) Hao hao
(Hao) Wana tutenganisha
(Hao) Wana tupiganisha
(Hao) Hao hao
Wanatupiganisha we mama
Brikicho (Banture)
Brikicho (Banture)
Brikicho (Banture Banture banture)
Brikicho (Banture)
Brikicho (Banture)
Brikicho (Banture Banture banture)
Written by: Sharon Ong'ayo

Loading...