album cover
Madina
album cover
00:00
00:05
00:20
00:45
00:55
01:05
01:20
01:40
01:45
01:55
02:10
02:25
02:30
03:00
03:20
03:30
03:40
04:00
04:05
04:10
04:35
04:45
04:50
04:55
05:25
00:00
06:51
Past 7 Days
Madina was discovered most frequently at around 45 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Chorus:
Lau ningelipata la kuomba
Ningeliombea umma
Ningeliomba kwa muumba
Sote tufike Madinatul Munauwarah
Verse 1:
Ningelipata la kuomba
Ningeliombea umma
Ningeliomba kwa muumba
Sote tufike Madina
Nilipofika madina
Nililia sana
Nikikumbuka ya nyuma
Kwangu toba ndo salama
Lau ningelipata la kuomba
Ningeliomba kwa muumba
Sote tufike Madinatul Munauwarah
Verse 2:
Kaburini mwa rasuli
Kuna khabari kathiri
Utatetemeka mwili
Na kusafiri akili
Husafiri mpaka janna
Mbele ya mola manani
Hujiona ni kijana
Kama wale wa peponi
Lau ningelipata la kuomba
Ningeliomba kwa muumba
Sote tufike Madinatul Munauwarah
Verse 3:
Sina hali wala mali
Ningelizuru Madina
Madina mji mzuri
Wenye nuru na heshima
Ukienda kwa mara moja
Malipo yake daima
Mchapo:
Mwenda madina ni nani
Anisalimie bwana
Akwamwambie ayani
Kuwa nampenda sana
Sina hali wala mali
Ningelizuri ziara
Tatizo yangu ni hali
Sina mbuni Mia sina
Mwambieni nataraji
Kuja ziara mwakani
Wale wanaokujia
Salamu tanitolea
Kwaheri ya kuonana
Tutaobaba qiyama
Ukituombe umma
Kuwa nampenda sana.
Written by: Sabah Salum, Said Mussa Hurairah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...