album cover
Nawe
album cover
Nawe was released on May 24, 2026 by 8504141 Records DK as a part of the album Nawe - Single
May 24, 2026
Label8504141 Records DK
BPM119
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Mmmh Ooh Nanaa
Kama filimbi nafsi yangu
Ina lia
Nimekuwa kinubi
Na lalama kwa hisia
Macho yako yananisafirisha
Kusikofikika nifike
Nifike
Mapenzi yako kama ni shina
Nimeshikika nising'oke
Nising'oke
Mbona ninapata wasiwasi
Eti tuko wangapi
Najiuliza kwanini nahofia
Majibu siyapati
Nabaki taharuki
Ukienda utaniumbua
Kama kinda la ndege
Mi kwako ooh
Ooh nibebe mgongoni mwako ooh
Niende naa
Niende naa
Niende nawe
Uendapo twende sotee
Niende naa
Niende naa
Niende nawe
Nikianguka huniokotee
Oohoooh
Nimekuwa muhanga
Wa penzi lako
Machozi hunitililika kama mtoto
Nakosa ujanja sungura wako
Kila ninapoiona sura yako
Ooh hisia za mahaba
Zinanisumbua mhibu wangu
Nikiwaza kwa kina nakonda
Wakija kukubeba tabibu wangu
Kaburini mwenzio nitakwenda
Mbona napata wasiwasi
Eti tuko wangapi
Najiuliza kwanini nahofia
Majibu siyapati
Nabaki taharuki
Ukienda utaniumbua
Kama kinda la ndege
Mi kwako ooh
Ooh nibebe mgongoni mwako ooh
Niende naa
Niende naa
Niende nawe
Uendapo twende sotee
Niende naa
Niende naa
Niende nawe
Nikianguka huniokotee
Written by: Abasi Mudhihiri Lipambila
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...