album cover
Tanzania
212
Dance
Tanzania was released on June 1, 2026 by MdogoSajentOfficial as a part of the album Tanzania - Single
album cover
Release DateJune 1, 2026
LabelMdogoSajentOfficial
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM144

Lyrics

Let’s Go
Sote Tukiridhia Moja Amani Itabaki tanzania
Tuna nchi ya kujivunia Tuliolisi Kwa Maelewano
Sote Tukiridhia Moja Amani Itabaki tanzania
Tuna nchi ya kujivunia Tuliolisi Kwa Maelewano
Visiwani , Barabarani hatuna ukabila Wala Dini
Tanzania Msingi amani naipenda mimi
hapa ndipo nimezaliwaga mimi
Sio Vijembe tanzania ni inchi Yetu Sote
Tuendeleze upendo tusialibu nchi tuijengee
Naipenda Tanzania Tanzania
Nchi Yangu Tanzania Tanzania
Naipenda Tanzania Tanzania
Tuijenge Tanzania Tanzania
Tumejawa na Subira sio kitu kungojea
Shindwa we sio nchi Kuichafua
Vita kwetu ni haramu Tanzania
Tunaishi kwa Amani Tanzania
Tanzania nchi Yangu Tanzania
Tunaishi kwa upendo Tanzania
Tanzania ina vingi vivutio
Tanzania ina mengi ya kushangaza
Madini Yapo Miundombinu ipo
Mi na We tuishi Kwa Pamoja
Sio Vijembe tanzania inchi Yetu Sote
Tuendeleze upendo tusialibu nchi tuijengee
Naipenda Tanzania Tanzania
Nchi Yangu Tanzania Tanzania
Naipenda Tanzania Tanzania
Tuijenge Tanzania Tanzania
Written by: Mdogo Sajenttz
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...