album cover
Furaha
album cover
Furaha was released on June 5, 2026 by Bayo as a part of the album Furaha - Single
June 5, 2026
LabelBayo
BPM55
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

(Verse 1)
Yeh yeh yeah
Mirindimo hii
Si ya kukosa kama
Ushuhuda wa kinabii
Safi imekutana na
Nyeupe Kisanii
Dunia duara ila
Hukutani na pesa.
Furahia cheza
(Bridge)
Watoto wanakata kata
Wakishaona vichenji tu
Ndo wanadata data
Neema anacheza
Kapandisha jini makata kata
Hajali sheria wala matusi basata
Sata kayataka
(Chorus)
Oya shayo
Leo mwanao sipigi mihayo
Nishabeti cash out
Kama huna kitu wee fata nyayo
Tukanywe gambe
Shayo
Leo mwanao sipigi mihayo
( Mihaaaayo)
Nishabeti cash out ninayo
(Nina nina ninayoo)
Kama huna kitu wee fata nyayo
Tukanywe gambe
(Verse 2)
Easy
Wanangu wote
Wako kwenye party
Wana cruise
Usisizi usikae kinyonge
Bonga na Suzi
(Bridge)
Watoto wanakata kata
Wakishaona vichenji tu
Ndo wanadata data
Neema anacheza
Kapandisha jini makata kata
Hajali sheria wala matusi basata
Sata kayataka
(Chorus)
Oya shayo
Leo mwanao sipigi mihayo
( Mihaaaayo)
Nishabeti cash out ninayo
(Nina nina ninayoo)
Kama huna kitu wee fata nyayo
Tukanywe gambe
Written by: Emmanuel Josephat Mkami
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...