album cover
Kupenda
14
Afro-Beat
Kupenda was released on June 7, 2026 by Star music as a part of the album Kupenda - Single
album cover
Release DateJune 7, 2026
LabelStar music
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM179

Credits

PERFORMING ARTISTS
Konja boy Tz
Konja boy Tz
Bass, Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Konja boy Tz
Konja boy Tz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
BBD)
BBD)
Producer

Lyrics

Is konja ooh iyeee
Nilikuthamini
Nikakuamini
Nikakupa moyo
Wangu
Ukaniona mimi
Ya Kwamba sifai
Mhmm Wakakuraghai Maana asubuhi uko na mimi
Jioni uko na furani
Ohooo sijui kwa nini?
Nikiongea unanifokea
Nikipotezea unakuwa don't care
Mapenzi ya sasa ni uongo
Na hii ndo bongo
Bora nikae single
Kila nayempata wa mchongo
Stopenda tena
Stopenda tena
Stopenda tena
Stopenda tena
Nilidhani nimepata nimepatikana
Hisia zangu akaona hazina maana
Kumbe nje tumepangwa danadana ohoo danadana
Na Ahadi yetu ilikuwa kuoana
Nikampa moyo wangu akanicheat sana
Akathamin mapene
Akiwa nje ananikana
Ohoo ananikana
Mapenzi ya sasa ni uongo
Na hii ndo bongo
Bora nikae single
Kila nayempata wa mchongo
Stopenda tena
Stopenda tena
Stopenda tena
Stopenda tena
Written by: Konja boy Tz
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...