album cover
Ukikosa
album cover
00:10
04:05
00:00
04:20
Past 7 Days
Ukikosa was discovered most frequently at around 40 seconds into the song during the past week

Lyrics

Niseme ama nisiseme,
Niseme ama nisiseme,
Niseme ama nisiseme,
we mpenzi wako mfiche
‎Usieleze watu story za ndani
‎Ka una mchumba mchumba wako mfiche
‎Watu wengine hawapendi mafanikio Yako
‎Siri zako zifiche
‎Uwaeleze wachache
‎Maana hata hao wachache unaowaamini siri zako wafiche
‎Tunza Siri zako za ndani
‎na uwaogope watu, jihadhari sana
‎Maadui zako ni hao unasema nao
‎Unaongea nao story zako kwao
‎Unadhani wanaenda nawe hawakupendi
 juu wanakuaga nawe na malaka yao Mama ooh !
‎Ukikoosaaa !
‎ndio utajua nani yuko pande Yako
‎Na ukikosa Ndio utajua nani ni rafiki  Yako
‎We ukikosaaa
‎ndio utajua  nani ni mpenzi wakoo
‎We ukikosa
‎Ndio utajua undugu kazi hata ikiwa niwa damu
‎Waubani hauto mwona
‎hauto mwona Amor
‎na wa dhati  pia hauto mwaonaa
‎hautowaona Hao
‎Si ajabu pia mpenzi wako hauta muonaa
‎hautomwona kando
‎hao marafiki wanao kuzunguka hauta waona..
hautawaona hao
‎Eeeh eeh
‎Tume umbiwa kufunguka maana ukifunguka moyo unakua mwepesi
‎Na ukianguka ukiwa umeanguka
‎watu wanakucheka wii
h‎awafurai mafanikio
‎wanafurahia wakikuona hapo ulipo
‎usidhanie hao ndio ndio alaaah
‎nje watu ndani ni evil
‎wanadamu tumeumbiwa roho mbaya
‎hata utende mema utasemwa vibaya
‎si ajabu rafiki yako wa kila siku
‎ndio anaye kupangia mabayaa.
‎manake wanakusifu kwa paji ubaya wake
‎ni hao hao hukusemaga vibaya
‎we filisika utajua ubaya wake
h‎awakupendi wanapita njia
‎watu sio wazurii iiih
‎kanya kinywa kuto sema yote
‎jifunze kujitunzia Siri zako
‎mdomo adui mkubwa
‎wewe wewe wee
‎Ukikoosaaa !
‎ndio utajua nani yuko pande Yako
‎Na ukikosa Ndio utajua nani ni rafiki  Yako
‎We ukikosaaa
‎ndio utajua  nani ni mpenzi wakoo
‎We ukikosa
‎Ndio utajua undugu kazi hata ikiwa niwa damu
‎Waubani hauto mwona
‎hauto mwona Amor
‎na wa dhati  pia hauto mwaonaa
‎hautowaona Hao
‎Si ajabu pia mpenzi wako hauta muonaa
‎hautomwona kando
‎hao marafiki wanao kuzunguka hauta waona..
hautawaona hao
‎Eeeh eeh
Written by: Devrix Da Fubu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...