album cover
Wish
album cover
Wish was released on June 17, 2026 by 7787630 Records DK as a part of the album Wish - Single
June 17, 2026
Label7787630 Records DK
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Ni Mapenzi yanayofanya
Naonekana kama hivi
Hizi ni hisia zinazofanya
Naonekana kama chizi
I swear swear
Huyu niliepata hana mapepe
Kweli hana mapepe ee
Na Yuko fair aaa
I swear swear
Kweli na mi nimepata ka bebe
Nimepata ka bebe ee
Kakunicare aaah
Langu wish ni kuishi
Ni kuishi milele na wewe
Langu wish ni kuishi
Ni kuishi milele na wewe
Milele na wewe
Licha ya kwamba sina
Ila bado ananipenda
Licha ya kwamba hatuna ooh
Ila bado tunapeta
Licha ya kwamba sina dooo
Ila bado ananipenda aa
Na hatujali wanavyoongea
Hatutocare
Hatutowajali
Ooo nanana
I swear swear
Huyu nilopata hana mapepe
Kweli hana mapepe eee
Nayuko fair aaa
I swear swear
Kweli na mi nimepata ka bebe
Nimepata ka bebe eee
Ka kunicare aaa
Langu wish ni kuishi
Ni kuishi milele na wewe
Langu wish ni kuishi
Ni kuishi milele na wewe
Milele na wewe
Written by: Deogratius John Chonza
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...