album cover
Maisha
41
Afro-Beat
Maisha was released on June 20, 2026 by OJ MUSIC as a part of the album Maisha - Single
album cover
Release DateJune 20, 2026
LabelOJ MUSIC
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM120

Credits

PERFORMING ARTISTS
OJ MUSIC
OJ MUSIC
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Justin Daniel Kapitula
Justin Daniel Kapitula
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Brk Beatz
Brk Beatz
Producer

Lyrics

Maisha ili kuwaka facile
Saa na kula na Sijuwe
Beyi ya bunga
Na kama si shibe
Munyumba mina vimba
Ku lala bila garantie auta sikiya hodi ase ulipe nyumba
Soki na zongi pokwa bakangi na siliki
Miye na masomo siku I patiyaka valeur
Ku laver mpaka uni forcer
Ile wakati na ikumbuka ah
Na ikumbuka ah
Nili kuwaka na deka leo na kemba ah (leo na kemba!)
Sijue ni fanye nini
Maisha Maisha makali ya pilipili
Chance hai kuyake mara pili
Maisha Isha ni tiya chini
Maisha! Maisha!
Makali ya pilipili
Chance ai kuyake mara pili
Maisha Isha ni tiya chini
Maisha ina ni shinda
Na Niko mi peke
Nyiye muli fanya aye
Ju mutu supporter (maman)
Mateso muli pata
Usiku na muchana
Jutu muni kulishe
Ona leo( eh)!
Mbele nyuma Sina
Nina shindwa
Kiburi kwisha
Ninge sikiya ata conseil
Kama leo siko mutu
Wama problème
Leo na jutiya eh!
Ni fanye je!
(fanye je)!
Bro fanya powa kesho
Usi liye saa miye (ah ah)
Maisha! Maisha!
Makali ya pilipili
Chance ai kuyake mara pili
Maisha Isha ni tiya chini!
Maisha! Maisha!
Makali ya pilipili
Chance ai kuyake mara pili
Maisha Isha ni tiya chini
Instrumental!
Written by: Justin Daniel Kapitula
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...