album cover
Naskia
album cover
Naskia was released on July 10, 2026 by Black Market Records as a part of the album Naskia - Single
ReleasedJuly 10, 2026
LabelBlack Market Records
BPM99
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Kuna kitu inafanya nisikie fiti
Kuna kitu inaniamsha uchizi
Uuuuwi naskia Kuna vile Leo naskia
Kuna kitu inafanya nisikie fiti
Kuna kitu inaniamsha uchizi
Uuuuwi naskia Kuna vile Leo naskia
 
Naskia vizuri ama pia hii ni talanta
Ata nikose ganji lakini lazima standard's
Zangu siezi shuka apa we don't do that
You have a good heart funguka unaitwa bustard
Ukidai kuskia ivi we saka jah
Ligi yangu staki watu wako njaa
Kaa mwangaza Niya foreign mbona uwashe taa
Parry after parry come here naah
Entrance unaingia na kivela
Rada Niya magwangi itabidi umeteveva
Huyo ni wako juu uku inje tunamtema
Bila kulia rudia hio part tena
Kuna kitu inafanya niskie fiti
Kuna kitu inaniamsha uchizi
Uuuuwi naskia Kuna vile Leo naskia
(Kuna kitu inafanya nisikie fiti
Kuna kitu inaniamsha uchizi
Uuuuwi naskia Kuna vile Leo naskia
I gat peace I gat money
Can't buy happiness ulskia na nani
Nadai kuambiwa unafanya mjeii ata ukai
We jua itajipa ustake jua ni mwaka gani
Yolo usijime ATI unasave
Na ukieza amka morning ujipate uko Kwa grave
Kukua sharp huanza by loving your self
but pia kila kitu huanzanga na step
I just wanna burry ngori zangu
God ukora kidogo na maombi ya mamangu
luku ya chwani na skai shiida zangu
Mnaskia ivi ama Niko vitu zangu
Kuna kitu inafanya niskie fiti
Kuna kitu inaniamsha uchizi
Uuuuwi naskia Kuna vile Leo naskia
Kuna kitu inafanya nisikie fiti
Kuna kitu inaniamsha uchizi
Uuuuwi naskia Kuna vile Leo naskia
Written by: Roza Wali
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...