album cover
Kumbe
album cover
00:00
00:10
00:20
00:30
00:45
01:00
01:10
01:25
01:30
01:40
02:05
02:40
02:55
03:05
03:25
00:00
03:27
Past 7 Days
Kumbe was discovered most frequently at around 2 minutes and 5 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Si unaona mi wa kuchezewa
Haya nichezee
Si unaona mi wa kudanganywa ka mtoto
Haya niongope
Si unaona mi wa kufokewa
Haya nifoke
Si unaona mi ni wa kupotezewa muda
Haya nipotezee
Imagine unamuumiza mtu
Ambaye kosa lake yeye kukupenda kwa dhati
Au kama hupendi kuniona naishi
Niambie nijiue ujinafasi
Upendo ninaokupa haujali
Kisa makaratasi
We kutwa na matusi kunitukana
Mpaka kidole cha kati
[PreChorus]
Unatambua najua unajua
Ninavyokupenda wewe
Nini cha kuzuzua
Au toto hujaukuwa ndio maana waniumiza
[Chorus]
Nyie kumbe kuna watu wana roho mbaya
Nyie kumbe kuna watu wana roho mbaya
Kumbe kuna watu ni wanyama
Kuna watu wana roho mbaya
Nyie kumbe kuna watu wana roho mbaya
[Verse 2]
Mizao sina kikubwa ila tego kidogo
Nikikipata mbona nakupa
Kumbe napoteza muda nangonga kisogo
Unaniona ka mchafu kunuka
Au nani huyo aliyenizidi utamu
Anayefanya mi unione kituko
Au kama miti shamba kwa mtaalamu
Anielekeze nami niende huko
Au haupendi wenye akili timamu nijichatue nami niwe mcharuko
Nifanye nini hata nashindwa kufahamu
Unataka niweje
[PreChorus]
Unatambua najua unajua
Ninavyokupenda wewe
Nini cha kuzuzua
Au toto hujaukuwa ndio maana waniumiza
[Chorus]
Nyie kumbe kuna watu wana roho mbaya
Nyie kumbe kuna watu wana roho mbaya
Kumbe kuna watu ni wanyama
Kuna watu wana roho mbaya
Nyie kumbe kuna watu wana roho mbaya
Written by: Abduli Hamisi Mtambo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...