album cover
Like One
2
Music
Like One was released on July 17, 2026 by @snuffer as a part of the album Like One - Single
album cover
Release DateJuly 17, 2026
Label@snuffer
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM97

Lyrics

Like one napenda ka inapitapita
‎Like two ishindwe ka inapenda bunda
‎Like three ipendwe ka inaguzwa guzwa
‎Like four shuka  ama ushikwe thutha
‎Like one napenda ka inapitapita
‎Like two ishindwe ka inapenda bunda
‎Like three ipendwe ka inaguzwa guzwa
‎Like four shuka  ama ushikwe thutha
‎Check that daily nikipita we jua niko na gats  nataka nikutusi ju kweli we unadeserve nataka manyonyoiz walai naeza waman staki ujinga  mingi mingi leo ntaka  kuona mini ju wote ni bikini walai hawa mabinti kumbe pia winy nataka kucheck nini ka pia iko ivi mimi gwiji kwanza tu matiries . Kwanza ti  kwanza ti kwanza ti
‎Kuja na makwela kuja makwela
‎Kuja na mapepe mapepe kuja makwela kuja na makwela kuja na makwe mapepe kuja na makwela
‎Kwanza leo daburn lazma tuone mbili  tufeel tu vile ama tu ivi washa kwanza goro tupa izo makoro shash ndom foreign iko home Ita bob afike na mahomie
‎Like one napenda ka inapitapita
‎Like two ishindwe ka inapenda bunda
‎Like three ipendwe ka inaguzwa guzwa
‎Like four shuka  ama ushikwe thutha
‎Like one napenda ka inapitapita
‎Like two ishindwe ka inapenda bunda
‎Like three ipendwe ka inaguzwa guzwa
‎Like four shuka  ama ushikee thutha
‎Hey chat leo mwendo kasi  staki kuona chesa me itanighasi leo fika party usifwate masharti kwanza shika larki kunyawa kama tanki party party party
‎Like like like one
‎Like one
‎Like one like one
‎Like oooone
Written by: Snuffer ke
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...