album cover
AFADHALI
album cover
00:00
00:05
00:10
00:15
00:35
00:45
01:15
01:35
01:45
02:05
02:35
02:40
02:50
03:05
03:10
03:15
03:25
03:35
03:40
03:50
04:00
04:05
00:00
04:16
Past 7 Days
AFADHALI was discovered most frequently at around 2 minutes and 5 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Hivi najiuliza
Mungu angempa mwanadamu mamlaka
Ya kuamua ni nani ataamka ni nani atafariki
Hivi najiuliza
Mungu angemuomba mwanadamu ushauri
Ya kuamua ni nani atashushwa ni nani atainuka
Sisi wengine tungekuwa wapi
Ama tena tungesema nini
Sisi wengine tungekuwa wapi
Ama tena tungesema nini
[Chorus]
Afadhali
Afadhali Mungu si mwanadamu ooh sitaogopa
Afadhali si adhumani
Afadhali Mungu si adhumani ooh sitaogopa
Mungu hana mshauri
Afadhali Mungu hana mshauri sitaogopa
Iyoo ni wetu sote
Afadhali Mungu ni wetu sote eeh sitaogopa
[Verse 2]
Kama mwanadamu ndiye anayepana uzima
Sisi wengine tusingeishi tena
Kama mwanadamu ndiye anayeinuwa maskini
Sisi wengine tusingeinuliwa
Kama mwanadamu ndiye anayepana majina
Sisi wengine tusingejulikana
Kama mwanadamu ndiye anayepana kibali
Sisi wengine tusingekubaliwa
[Chorus]
Iyooo afadhalii
Afadhali Mungu si mwanadamu ooh sitaogopa
Afadhali si adhumani
Afadhali Mungu si adhumani ooh sitaogopa
Mungu wetu hana mshauri
Afadhali Mungu hana mshauri sitaogopa
Huyu Mungu ni wetu sote
Afadhali Mungu ni wetu sote eeh sitaogopa
Written by: Les Rachats classic band
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...