album cover

Kazoze

1,374Music2026
album cover
Kazoze was released on July 9, 2026 by Mastar VK as a part of the album Kazoze - Single
ReleasedJuly 9, 2026
LabelMastar VK
LanguageEnglish
BPM103
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

no ranking under mikey
1960
Nime shika Black paper ilimbe ya gat
Njoti ndo tool kwenye ngango ya ngat
Iliki kashata makoro kwa shirt
Zime shika na alele walai zime fyat
Chorus
nika mzozozo Leo nika zozeze
Utanipata zanabe kazozeze
Njoti ndo tool iongezee kazoze kazoze
Vers 1
Ni tumajani jaba safi ina fanya silali Maini ma matawi za kidigitali iano jeo ni kazoze na jirani kwenye luku fisa tume pandisia mali si nywele lakini uta nipata niki chana Kaveve kana bamba mbaka wasichana Kashike kazoze usiku na mchana alafu niki tema swezi shindwa kudinyana kutema ifai taxin ifure ivo ndo me nafurahi Tuvunje na muguka mbaka uthani ntakuchai macho kukondoa juu ya venye zime wai weuuwee!!
Chorus
nika mzozozo Leo nika zozeze
Utanipata zanabe kazozeze
Njoti ndo tool iongezee kazoze kazoze
Vers 2
Iliki ka tool vaite weka asili ongeza ma statar ongeza matawi mbili na Leo gwethe kana shika kwa kina willy mtu na wake essy kirumba ni wa mmi za morome zime shika adi aka toa shati Njoti zime mwonyesha
Ni kutu akate ngwati yeushikisha Maini aki ongeza mabati kazoze kazoze kasonge na wakati utanipata zabe karunde na kimera jaba ni ya mandevu ras ama masela naishikisha na kashata kibao na mavella na before nikateme Nakata jaba na kwela
Pre chorus
Nime shika Black paper ilimbe ya gat
Njoti ndo tool kwenye ngango ya ngat
Iliki kashata makoro kwa shirt
Zime shika na alele walai zime fyat
Chorus
nika mzozozo Leo nika zozeze
Utanipata zanabe kazozeze
Njoti ndo tool iongezee kazoze kazoze
Chorus
nika mzozozo Leo nika zozeze
Utanipata zanabe kazozeze
Njoti ndo tool iongezee kazoze kazoze
Awayusee prrr kang Kang
Weuuweee
Written by: Kelvin Maina

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...