album cover
Suzanna
12
Hip-Hop/Rap
Suzanna was released on July 11, 2026 by Skia Records as a part of the album Suzanna - Single
album cover
Release DateJuly 11, 2026
LabelSkia Records
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dushy Boy
Dushy Boy
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Dushy Made Verses
Dushy Made Verses
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Made By Nash
Made By Nash
Producer

Lyrics

Dushy made verses
I'm sorry mama suzy
This is going to be deep
But I had to do it
Yeah
Kapiga simu sjapokea ka mara tatu
Napiga simu aliyepokea kumbe ni mama
Umemchezea umemvunja moyo mwanangu
Nikamwambia mama naomba nijieleze kwanza
Kapiga simu sjapokea ka mara tatu
Napiga simu aliyepokea kumbe ni mama
Umemchezea umemvunja moyo mwanangu
Nikamwambia mama naomba nijieleze kwanza
Mwanao alisema ananipenda
Ila anapenda nguo na kutoka out
Alimpeda Steve pia
Steve wakishua chuo kila mtu anamsifia
Nilipewa shavu wakati mwenzangu ana tia gear
Story ilikua ni Ijumaa tumetoka class
Suzy akasema ataenda out na marafiki
Me skuwa na neno maana spendi kuwa this tough guy
Akanikiss afu akapotea kama wind wind
Kumbe ilikuwa ndo siku
Kaenda kunifanya mi kituko mbwa mwitu
Kapelekwa mall anajisnap na ma vitu
Baada yahapo ndo Steve akamvua kila kitu
Nonoo nonoo nonooo
Ndio nikweli kuwa kifedha sikuweza muhudumia
Ndio nikweli sikumpa everything she needed
Ndio ni kweli kuwa mapenzi lazma ugharamie
Nilimpa moyo wangu ila moyo wangu haukuwa for free
Kapiga simu sjapokea ka mara tatu
Napiga simu aliyepokea kumbe ni mama
Umemchezea umemvunja moyo mwanangu
Nikamwambia mama naomba nijieleze kwanza
Kapiga simu sjapokea ka mara tatu
Napiga simu aliyepokea kumbe ni mama
Umemchezea umemvunja moyo mwanangu
Nikamwambia mama naomba nijieleze kwanza
Steve alishoot video fupi ya mikiki
Suzy anavyo vunja kila style hashikiki
Na Akaeka a kwenye group la darasa kisa kiki
Nonoo uuuuh yeah
Simu hashiki Nikimtext blue tick
Hataki hata kuniona anajifanya ye ni victim
Mimwenyew kichaa ikabidi ntoke na rafiki
Nilifanya maksudi ingawa moyo haukuwa shabiki
Ndio nikweli kuwa kifedha sikuweza muhudumia
Ndio nikweli sikumpa everything she needed
Ndio ni kweli kuwa mapenzi lazma ugharamie
Nilimpa moyo wangu ila moyo wangu haukuwa for free
Ndio nikweli kuwa kifedha sikuweza muhudumia
Ndio nikweli sikumpa everything she needed
Ndio ni kweli kuwa mapenzi lazma ugharamie
Nilimpa moyo wangu ila moyo wangu haukuwa for free
Kapiga simu sjapokea ka mara tatu
Napiga simu aliyepokea kumbe ni mama
Umemchezea umemvunja moyo mwanangu
Nikamwambia mama naomba nijieleze kwanza
Kapiga simu sjapokea ka mara tatu
Napiga simu alieyepokea kumbe ni mama
Umemchezea umemvunja moyo mwanangu
Nikamwambia mama naomba nijieleze kwanza
Hahaahaha
Levels baby
Written by: Dushy Made Verses
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...