album cover
Siri
22,373
Afro-Pop
Siri was released on November 18, 2014 by Barnaba as a part of the album Siri - Single
album cover
Release DateNovember 18, 2014
LabelBarnaba
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM131

Credits

PERFORMING ARTISTS
ELIAS BARNABA INYAS
ELIAS BARNABA INYAS
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Barnaba
Barnaba
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Treni langu la kutongoza
Limefunga breki na kituo ndo wewe
Sina mengi mimi
Sio mtoto wa mjini
Nimefundwa jandoni kipenzi
Hadithi hadithi uwongo njoo
Haya nieleze porojoo
Mie bado mdogo
Hivi ni juzi ulikuja na maua
Kulikuwa na barua ila sikuifungua
Ungesoma ndani
Ungejua vingi (No)
Vile moyo wangu ulivyojawa na vigingii
Wewe una mume nami nina mke
Twaweza iba bado wasishituke
[Chorus]
Kumbe muhuni ii ii ii
Aku siwezi kushare penzi noo way
Kasoro yangu nini ii ii ii
Si una mke yule amekosa nini
Kwanza ningekuomba kipenzi ukubali
Tutafanya siri ya watu wawili
Utaniponza kwa jambo hili
Hamnaga siri ya watu wawili
Kama ukikubali nitakupa kagari na visalary
Utakuwa bonge la sister duu
Alinifunza mama niogope wavulana
Nikae mbali nyie wabaya sana
[Verse 2]
Kwetu nyumbani
Tumekulia kwenye dini mmh
Penda wako nyumbani kwanza
Kisha unipende mimi mmh
Asante kwa muda wako
Nimependa majibu yako
Hivi nikuulize swali?
Anavyotoka mumeo unajua mangapi anafanya?
Ni muhuni (Muongo)
Niseme nini (Muongo)
Kila kitu (Muongo)
Maneno yangu hayakuvuna pendo
Huna jipya (Muongo)
Useme nini (Muongo)
Maneno yangu (Muongo)
Kibaya zaidi mke wako akijua
[Chorus]
Kumbe muhuni ii ii ii
Aku siwezi kushare penzi noo way
Kasoro yangu nini ii ii ii
Si una mke yule amekosa nini
Ukikubali nitakupa kagari na visalary
Utakuwa bonge la sister duu
Alinifunza mama niogope wavulana
Nikae mbali nyie wabaya sana
[Chorus]
Kwanza ningekuomba kipenzi ukubali
Tutafanya siri ya watu wawili
Utaniponza kwa jambo hili
Hamnaga siri ya watu wawili
Kama ukikubali nitakupa kagari na visalary
Utakuwa bonge la sister duu
Alinifunza mama niogope wavulana
Nikae mbali nyie wabaya sana
Written by: ELIAS BARNABA INYAS
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...