Music Video

Matonya - Spair Tairi (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Matonya
Matonya
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Seif Shabani
Seif Shabani
Songwriter

Lyrics

Najua nishachelewa Kama kupenda umeshawahiwa Nahisi kama ngekewa Hadithi nzuri nasimuliwa Kweli manani kaumba dunia Kwa uwezo wa pekee Nakupa maksi asilimia mia Bado wifey wewee Kwani Lini Honey utakujaniamini Ya kwamba kidole kimoja Hakiwezi vunja chawa asilani Pindi ukiniliami Utanipa nguvu kubwa maishani Kwani Tonya ni tayari kuwa hata pa spea tairi Tafadhali lati niamini Nenda kwanza kafikiri Tonya boy me nitayari Kuwa hata spea tairi Busala busala iseeee Hata maua hunyauka Tafadhali lati unitunze Ipo siku ntanepa Busala busala isee Hata maua hunyauka Tafadhali lati unitunze Ipo siku ntanepa Kila ndege hutua kwenye mti aupendaoo Hata kama una miba na majani kibaoo Nlichotaka ndugu tafadhali nikubali mwenziooo Hata kama una mchumba sitaweza weka vikwazoo Yayayaaaa Hata mimi nakupenda kwenye hii sayari Yayayaaa Na tabia za watu lati huwezi tabirii Unaweza pendwa na ulie naeee Nikaziba pengo juu yake yeye Lati niaminiii Tafadhalinlati niamini Nenda kwanza kafikiri Tonya boy me nitayari Kuwa hata spea tairi Busala busala isee Hata maua hunyaukaaa Tafashali lati unitunzee Ipo siku ntakefaaa Busala busala iseee Hata maua hunyauka Tafadhali laiti unitunzee Ipo siku ntakefaaa Kila kukicha me naona jiii Hata mwenzangu huelewekiii Na jibu langu hunipiii Nitafanya nini sasa wangu latiiiii Tafadhali lati niaminii Nenda kwanza kafikiri Tonya boy me nitayarii Kuwa hata spea tairii Busala busala isee Hata maua hunyaukaa Tafadhali lati unitunze Ipo siku ntakefaaa Busala busala iseee Hata maua hunyauka Tafadhali laiti unitunzeee Ipo siku ntakefaaa
Writer(s): Seif Shabani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out