album cover
Nataka
album cover
Nataka was released on August 23, 2024 by The Future Music as a part of the album Nataka - Single
ReleasedAugust 23, 2024
LabelThe Future Music
BPM103
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Taking over me
I wanna sing your melody
Something\'s telling me
Utanifanya mi nichizi
Si tupendane, ndio iwache tu kuwa hadithi
Baby you and me njoo tuwe zaidi ya marafiki
Nimekubali matokeo, kwako nimezama
Nimekubali matokeo, penzi lako sawa
Nishakubali matokeo, kwako nimezama
Nimekubali matokeo, penzi lako...
Ndio nataka nataka penzi lako moyoni
Nataka nataka penzi lako moyoni
Nataka nataka penzi lako moyoni
Nataka nataka penzi lako
Ahh.... Ahh....
Ahh.... Ahh....
Ahh.... Ahh....
Ndio nataka nataka penzi lako
Mapenzi Yako ni matam
Kwako ndo nataka mahaba
Hadi mashida nasahau
Don\'t wanna do this with another
Ukinigusa moyo... unapeperuka
Penzi lako imenifanya
Nimekubali matokeo, kwako nimezama
Nimekubali matokeo, penzi lako sawa
Nishakubali matokeo, kwako nimezama
Nimekubali matokeo, penzi lako...
Ndio nataka nataka penzi lako moyoni
Nataka nataka penzi lako moyoni
Nataka nataka penzi lako moyoni
Nataka nataka penzi lako
Ahh.... Ahh....
Ahh.... Ahh....
Ahh.... Ahh....
Ndio nataka nataka penzi lako
Written by: Sheila Otieno

Loading...