album cover
Pamela
album cover
Pamela was released on August 28, 2026 by SOH Music / EMPIRE as a part of the album Pamela - Single
August 28, 2026
LanguageEnglish
BPM96
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Intro]
Yeah
Ongeza chumvi ndio upate flavor
Yeah
Pamela
[Chorus]
Whoever said
Shape haikujangi na behavior
Ongeza chumvi ndio upate flavor
Hawajakuona Pamela, hawajakuonja Pamela
Whoever said
Shape haikujangi na behavior
Ongeza chumvi ndio upate flavor
Hawajakuona Pamela, hawajakuonja Pamela
[Verse 1]
Sura shape, umebarikiwa
Wengine walipewa, ukazawadiwa, my lover
Chema chajiuza, kizuri hakitaki kutangaziwa my love
Wakija kukaribia
Ni sababu yako nitaburn dunia, my love
Nitaburn dunia, my lover
[PreChorus]
Juu yani all of a sudden, ulinipapasa sehemu flani
Nikajipata niko ndani, sasa itabidi nipambane
Mbio za Kasarani, daily nakungoja kitandani ehh
Itangazwe leo kwa gazeti niko ndani ya neti
[Chorus]
Whoever said
Shape haikujangi na behavior
Ongeza chumvi ndio upate flavor
Hawajakuona Pamela, hawajakuonja Pamela
Whoever said
Shape haikujangi na behavior
Ongeza chumvi ndio upate flavor
Hawajakuona Pamela, hawajakuonja Pamela
[Verse 2]
Aisifiye mvua
Jua imeshamnyeshea
Wasijaribu kukuchafua
Maua unavyopendeza
Ni mi nimekuchagua
Mapenzi bila kubagua
Kile nasema unaijua, eiii
[PreChorus]
Juu yani all of a sudden, ulinipapasa sehemu flani
Nikajipata niko ndani, sasa itabidi nipambane
Mbio za Kasarani, daily nakungoja kitandani ehh
Itangazwe leo kwa gazeti niko ndani ya neti
[Outro]
Who whoever said mama
Oooh ooh ooh
The Storyteller yeah
Oh Lord yeah yeah
Sura shape, umebarikiwa
Wengine walipewa, ukazawadiwa, my lover
Chema chajiuza, kizuri hakitaki kutangaziwa-
Written by: NVIIRI SANDE
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...