album cover
Kiwembe
album cover
00:00
00:15
00:20
00:35
00:50
00:55
01:05
01:25
01:30
01:45
01:55
02:10
02:40
02:45
02:55
03:05
03:15
03:30
00:00
03:40
Past 7 Days
Kiwembe was discovered most frequently at around 2 minutes and 10 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Hata uwe na pesa, ujaze Banki Kuu
Ipo siku utajionea, hayana maana
Yatakupa pressure, ukae roho juu
Hata uwe billionare, faida hayana
Unajua mapenzi, ni siri
Aloyaleta ni nani amewashinda walimu
Yamevuruga wengi wenye akili
Na manguli darasani na vyeti vya kuhitimu
[PreChorus]
Hodari wa mapenzi nani? Mnitajie
Anyooshe kidole tumwone
Maua yake tumwagie
Hodari wa mapenzi nani? Mnitajie
Apite mbele tumwone
Au wote wenzangu na mie
[Chorus]
Penzi kiwembe
Kiwembe, mapenzi kiwembe
Yameuchanachana moyo
Mapenzi kiwembe
Mapenzi kiwembe
Kiwembe, mapenzi kiwembe
Yameuchanachana moyo
Mapenzi kiwembe
[Verse 2]
Hayachagui dini, kabila
Gwiji wa imani uwe padri ama sheikh
Utakesha msikitini ila bila, ulale kanisani
Na mitishamba uoge
Ah, unaweza kuwa una mpenzi
Ukadhani mpenzi kumbe ana mpenzi wake
Akakufanyia ushenzi atie dosari penzi akimaliza shida zake
Unajua mapenzi, ni siri
Aloyaleta ni nani amewashinda walimu
Yamevuruga wengi wenye akili
Na manguli darasani na vyeti vya kuhitimu
[PreChorus]
Hodari wa mapenzi nani? Mnitajie
Anyooshe kidole tumwone
Maua yake tumwagie
Hodari wa mapenzi nani? Mnitajie
Apite mbele tumwone
Au wote wenzangu na mie
[Chorus]
Penzi kiwembe
Kiwembe, mapenzi kiwembe
Yameuchanachana moyo
Mapenzi kiwembe
Mapenzi kiwembe
Kiwembe, mapenzi kiwembe
Yameuchanachana moyo
Mapenzi kiwembe
Written by: Abdull Idd

Loading...