album cover
Siwezi
album cover
00:00
00:05
00:15
00:55
01:30
01:55
02:00
02:05
02:45
00:00
02:52
Past 7 Days
Siwezi was discovered most frequently in the first few seconds of the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Yaw yaw
It’s konde boy call me number one
Man of the night
Omukwano mwenzako nishachoka mashindano
Mwili umekonda kilo 5 punde nitapita tundu la sindano
Natamani nikuelezee how I feel
Vipi nikubembeleze ujue am for real
Aah!
Nikilewa nafanya vibweka watu wananicheka ila wewe ndo chanzo
Mi huku ndani ndani nateseka moyo umeuteka huu sio wimbo tangazo
Siwezi iiih iiih
Mi siwezi iiih iiih
Nishajaribu siwezi iiih iiih
Mi siwezi iiih iiih
Hmm!
Aah!
Mwenzako picha tuu nikiziona nakwisha boo
Uuuuuh!!
Aah!
Nasikitika tuu hivi penzi ndo lilikwisha boo
Uuuuuh!
Nishalia nikanyamaza bado sichoki kukuwazaa
Sina wakuniliwaza nimeshindwa kujikazaa
Shamba nililiachia wapita njia sasahivi wanalihudumia
Wamelilimia na kupalilia hadi mazao yameshachipukia
Eeeh!
Tulivaa hadi sare sare
Couple ilikuwa kale kale
Yani marafiki wale wale
Leo wanakula pale pale
Siamini kwangu ulisepa
Huko unanenepa
Huna hata Mawazo
Huku ndani ndani nateseka
Moyo umeuteka
Huu Sio wimbo tangazo
Siwezi iiih iiih
Mi siwezi iiih iiih
Jamani siwezi iiih iiih
Mi siwezi iiih iiih
Iiiiih
Bado nawaza nini cha kuhonga
Ukisema uhai kesho mi najinyonga
Aah hizo pozi zako kama kinyonga
Na ni wivu wangu kama kidonda
Yaw yaw
It’s konde boy call me number one
Bakhresa
It’s konde music worldwide
Written by: John Kimambo, Rajabu Abdulkahali Ibrahim, Raymond Shaban Mwakyusa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...