album cover
Pokea
album cover
Pokea was released on September 11, 2026 by Motra the future as a part of the album More Than A Rapper
September 11, 2026
LabelMotra the future
BPM100
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

We sema unataka nini basi, pokea, pokea
Wote wenye sadaka njoo kati, pokea, pokea
Pasta tenda muujiza, pokea, pokea
Wa kutakasa nguvu za giza, pokea, pokea
Nyumba pokea, gari pokea
Mchumba pokea, we ni pokea pokea
Kama unapenda fake promise pokea
Kuishi kama masonic, pokea
Kudanganywa na wazee wachukue fungu lako, we ubaki kama comix
Unaamini hauoni, pokea
Kumbe giza la usoni, pokea
Unaacha kufurahi na kuinjoi maisha yako yenye flevas kama Tommy
Sipotezi dira ka niko na compasi
Mikasi mi napiga na bebe na sio mkasi
Naishi zangu classic na wala sio msafi
Uhuru wa hili life haufundishwi class
Sina moto ila nikitokea ni liti
Sina recover nikidelete
Nawashinda kwenye mbio za vijiti
Maana vijana mmeacha mbio, mnagombania vijiti
Mtachezea sana hii miti
Nyumba pokea, gari pokea
Mchumba pokea, we ni pokea pokea
We sema unataka nini basi, pokea, pokea
Wote wenye sadaka njoo kati, pokea, pokea
Pasta tenda muujiza, pokea, pokea
Wa kutakasa nguvu za giza, pokea, pokea
Kila siku si tunaskia dondoo
Kuwa mchungaji kala kondoo
Na wengine Sunday bado tunashika rokoo
Na kufatana kama miguu ya jongoo
Mi naishi kabla ya kufa
Sisubiri kufa ndo niishi
Hapo kale maisha yalinipeleka puta
Kabla sijajua namna ya kuyaishi
We sema unataka nini basi, pokea, pokea
Wote wenye sadaka njoo kati, pokea, pokea
Pasta tenda muujiza, pokea, pokea
Wa kutakasa nguvu za giza, pokea, pokea
Written by: Motra the Future
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...