album cover
Nalia
album cover
Nalia was released on September 6, 2026 by All Musician as a part of the album Nalia - Single
ReleasedSeptember 6, 2026
LabelAll Musician
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Goga Voice, Goga Voice
Niko na new beat
Mmmh eeh...
Mbona kama inashindikana
Mi na wewe kuendana
Au udhaifu wangu?
Kila siku tunajibizana
Vitu vya ambiana
Au ndo upole wangu?
Nimechagua sikio lifanye kazi
Mambo ya mdomo siyawezi
Kugombana, kulumbana kila siku
Twawapa habari paparazzi
Angalau dharau ungepunguza
Nahau na misemo ya kuumiza
Ungepunguza
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Nami nna moyo wa nyama
Nami moyo unauma
Hata kwa kunidanganya
Niigizie basi
Nikikokotoa hili swali
Sipati jibu
Unayofanya hadharani
Huoni aibu?
Unainjoi nikilalamika
Papasa misitu na nyika
Haya yote ninayopitia
Kwangu sawa sawa
Tayari nshakupa jina
Malikia wa roho mbaya
Tayari nshakupa jina
Malikia wa roho mbaya
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Angalau dharau
Ungepunguza
Nahau na misemo ya kuumiza
Ungepunguza
Angalau dharau
Ungepunguza
Mambo ya kuniumiza
Ungepunguza
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Tarararaa, tarararaa
Nalia kama mtoto
Goga Voice, Goga Voice
Niko na new beat
Mmmh eeh...
Written by: Goga Voice

Loading...