album cover
Pekecha
album cover
Pekecha was released on September 10, 2026 by Akili Music as a part of the album Pekecha - Single
September 10, 2026
LabelAkili Music
BPM173
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Akili music
Ooh, yah, wera, fiki, oyah
Ooh, yah, mweenzangu, oyah
Ooh, yah, jirani, 0yah
Ooh, yah, nasema, oyah
Watakusema
Watakufitinisha
Watakuchoresha
Hawa hawana mana
Hao sio watu hao
Hao wanasema
Awe rafiki, rafiki gani mnafiki
Awe rafiki, rafiki gani mchawi
Awe rafiki, rafiki gani mrongo
Awe rafiki, rafiki gani wafikirii
Awe rafiki, rafiki gani mserereko
Awe rafiki, rafiki gani hauna mana
Urafiki wamakopa si utaki na si utamani
Urafiki wamakopa si utaki nyie majirani
Urafiki wamakopa si utakiwa na si utamani
Urafiki wamakopa si utakiie, alele
Shani, Shani, Shani ya Mungu Shani
(Shani)
Nime rukuu ota ndefu ng\'ombe a siote kwani
(Shani)
Nauliza kina mama mwagombea kitu gani
(Shani)
Na kama huo mchele wanunuliwa dukani
(Shani)
Na kama hayo mafuta yapatikana sokoni
(Shani)
Nauliza kina dada mwalilia kitu gani
(Shani)
Na kama huo muongo mpaka uende kibandani
(Shani)
Na kama huo mshika kishatuende bujani
(Shani)
Mwanjuba leo
(Pepepe)
Mwanjuma wangu
(Ehegekepa)
Mwanjuba leo
(Pepepe)
Mwanjuma mama wangu
(Pepecha)
Mwanjuma wangu
(Pepecha)
Mwanjuma dada we
(Pepecha)
Mwanjuma apo je
(Pepecha)
Mwanjuma mama we
(Pepecha)
Mwanjuma wangu we
(Pepecha)
Ulenagulena
(Lelene)
Habibi wangu, kulena
(Ye-e-ah)
Ulenagulena
(Lelene)
Habibi wangu, kulena
(Ye-e-ah)
Achiya nyonga, kulena
Wewe dada, kulena
Kidogo kidogo, kulena
Nataka tucheze, kulena
Ulena mama, kulena
Nasema kidogo, kulena
Ulena, ulena, ulena
Lelele
Mama lele
Apo kidogo lele
Nipe kuchini lele
Mama lele
Lelele, madere
Nene, dada
Nenele
Nene mama
Madere
Nene dada
Nenede
Nenede
We mama chuchuma
Chu-chuchuma
Chuchuma
Shikilia dera
Dera, mama dera
Aizungusha dera
Adhibiwa mwanangu adera
Ai, feli hapa tu
Tu, mama we
Ai, na huku tu
Tu, tu, mama we
Huko, hapa
(Kill a music on the track)
Hapa, huko, hapa
Awe rafiki, rafiki gani mnafiki
Awe rafiki, rafiki gani mchavi
Awe rafiki, rafiki gani mrongo
Awe rafiki, rafiki gani wafikirii
Written by: Akili Music
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...