album cover
Tangazo
album cover
Tangazo was released on September 19, 2026 by Ziiki Media as a part of the album Tangazo - Single
September 19, 2026
LabelZiiki Media
BPM114
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Cough
Yaw yaw
Bombo claaat
Sitaki tena pombee
Sitaki tena pombee
Mtu gani nisie na siri
Nikinywa naropoka
Ama pombe mnayo nipa mimi
Kuna kwingine inakotoka
Hangover
Ilinichapa jana
Nikatamani kuokoka
Wallah nikinywa tena
Sifiki hata mbinguni
Karoho kakinitoka
Kubwa zima
Wakushikwa mkono
Pombe mwenzake ngono
Nikidondoka nalala pono pombee
Eti
Kubwa zima wakushikwa mkono
Pombe mwenzake ngono
Nikidondoka nalala pono pombee
Hmm!
Tangazo
Tangazo
Sitaki tena pombee
Oya mi mtu wa soda
Juisi kunoga
Sitaki tena pombee
Noo noo
I don’t wanna drink no more
Sitaki tena pombee
Kama unanipenda kweli
Usinipe pombee
Sitaki tena pombee
Vanemba newala
Uuuuh
Haloo
Nikiwa sober
Najua kwamba alinikosea
Nikila tungi
Nasahau namlilia
Nikiwa sober
Najua kwamba alinionea
Ila nikiwa tungi
Ndo siwezi kumchunia
Anatumia weekness zangu
Ndo maana anapenda
Mimi nilewe
Anajua kabisa
Vitu vikipanda
Vinashuka chini
Anatumia weekness zangu
Ndo maana anataka
Mimi nilewee
Anajua kabisa
Kwamba zikipanda
Sijiwezi mimi
Tangazo
Tangazo
Sitaki tena pombee
Ukinikuta nakunywa
Nakupa milioni
Sitaki tena pombee
Tangazo
Tangazo
Sitaki tena pombee
Kwa akili zangu
Timamu nasemaa
Sitaki tena pombee
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...