album cover
Koo
album cover
Koo was released on September 19, 2026 by Zuri Mweusi as a part of the album Koo - Single
September 19, 2026
LabelZuri Mweusi
BPM117
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Mitungi itaniua one day
Mimoshi itaniua one day
Mitungi itaniua one day
Mimoshi itaniua one day
Mwenzenu mi nikiona chupa mi nikiona chupa
Nashindwa kujizuia Nashindwa kujizuia .
Mi nikiona kitu mi nikiona kitu Nashindwa kujizuia nashindwa kujizuia .
Daktari daktari kanionya niache vikali lakini wala sijali nawaka mchana juakali.
Daktari daktari kanionya niache vikali lakini wala sijali nawaka mchana jua kali.
Mituungi itaniua one day
Mimoshi itaniua one day
Mitungi itaniua one day
Mimoshi itaniua one day
Eh bhana koo koo koo linawasha
Jamani koo koo koo linawasha
Eh bhana koo koo koo linawasha
Jamani koo koo koo linawasha
Daktari daktari kanionya Niache vikali lakini wala sijali nawaka mchana jua kali
Daktari daktari kanionya niache vikali lakini wala sijali nawaka mchana jua kali
Mitungi itaniua one day
Mimoshi Utaniua one day
Mitungi itaniua one day
Mimoshi itaniua one day
Eh bhna koo koo koo linawasha
Jamani koo koo koo linawasha
Eh bhna koo koo koo linawasha
Jamani koo koo koo linawasha
Written by: Fredy Chali
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...