album cover
Usifiwe
album cover
00:00
01:00
01:25
01:30
04:15
04:50
04:55
05:20
07:35
07:55
08:15
09:30
00:00
09:48
Past 7 Days
Usifiwe was discovered most frequently at around 4 minutes and 55 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Ee YESU we, uinuliwe
Ee YESU we, uinuliwe
Ee YESU we, usifiwe
Ee YESU we, usifiwe
Ee YESU we, uinuliwe
Ee YESU we, uinuliwe
Ee YESU we, usifiwe
Ee YESU we, usifiwe
Maana Nina kila sababu ya kukuabudu
Maana Nina kila sababu ya kukuinua
Maana Nina kila sababu ya kukusifu
Maana Nina kila sababu ya kukuabudu
Ee YESU we, uinuliwe
Ee YESU we, uinuliwe
Ee YESU we, usifiwe
Ee YESU we, usifiwe
We waanda mwisho wangu kabla sijafika
We waanda njia zangu kabla sijapita
We waanda mwisho wangu kabla sijafika
We waanda njia zangu kabla sijapita
Usifiwe wewe muweza
Wa yote nakutukuza
Maana kwako ninapata vyote
Usifiwe mweza wa yote
Ee YESU we, uinuliwe
Ee YESU we, uinuliwe
Ee YESU we, usifiwe
Ee YESU we, usifiwe
Maana Nina kila sababu ya kukuabudu
Maana Nina kila sababu ya kukuinua
Maana Nina kila sababu ya kukusifu
Maana Nina kila sababu ya kukuabudu
Tunakusifu Kwa vinanda na vinubi
Unastahili kusifiwa MUNGU wetu
Tunasifu Kwa ulivyomwema
Ulivyomwema Mungu
We ni mwaminifu kwetu
Tunakusifu Kwa vinanda na vinubi
Unastahili kusifiwa MUNGU wetu
Tunasifu Kwa ulivyomwema
Ulivyomwema MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia tunasifu
Twakuinulia sauti zetu
Hakuna mwingine, hakuna mwengine
Wakusifiwa
Zaidi yako Eeh MUNGU
Tunashangilia
Written by: Fredrick Masanja Kilago
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...