album cover

Annakichaa

10,830Afro-Pop2026
album cover
00:00
00:05
00:10
00:20
00:30
00:45
00:55
01:10
01:30
01:35
01:40
01:55
00:00
01:58
Past 7 Days
Annakichaa was discovered most frequently at around 30 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Kuna mdada anaitwa Anna
Anafanya kazi banana
Ye anauza bar
Kwa mwezi analipwa laki tatu
Anachonishangaza akilipwa pesa zote anampa mpenzi
Huyo Anna ni nani?
Otea ni nani?
Anakichaa
Anawendawazimu
Anachanganyikiwa
Anamapepo
Kuna msela wangu Haji toka shule ya msingi
Nimekutana nae tayari ameshakuwa dingi
Anapesa vipi
Anamawe vipi
Ila tabia za Haji
Hajisifii
Hajitangazi
Hajioneshi
Hajibrand
Mwenzenu nilikuwaga na mpenzi
Ananiita Honey
Tulipendana nikampeleka nyumbani
Kuna siku akaniomba hela nikamjibu kwa utani
Saivi siko sawa ila naomba unikumbushe mwakani
Sikuhizi Hanitafuti
Hanipendi
Hanipigii
Hanibembelezi
Kifupi hanipendi
Kifupi hanipendi tena
Written by: Mkasa Richard Mkwaruzo

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...