album cover

Utukuzwe

2Christian & Gospel2026
album cover
Utukuzwe was released on September 29, 2026 by 10134529 Records DK as a part of the album Utukuzwe - Single
ReleasedSeptember 29, 2026
Label10134529 Records DK
BPM168
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Yayaaaah eeeh ehh
Utukuzwe Bwana uwezaye kufanya mambo makuu kuliko yote ni ya wazayo ni ya ombayo we unafanya yale niliyo kuomba Bwana umenijibu na zaidi maswali magumu ya moyo wangu umenijibu na zaidi yale walisema hayawezekani yamewezekana yale Waliona na magumu kwao yamefanikiwa wala hakuna neno gumu la kukushinda Bwana asante
Asante kwa hili asante kwa lile Nashukuru umefanya mambo makuu yanayopita fahamu
Yale unafanya hakuna mwanadamu anaweza Fanya yale unatenda hakuna mwanadamu anaweza tenda uyafanyayo yako juu sana ya elimu zetu yanashangaza unayofanya unayotenda ni ya ajabu uuuh njia zako sio zetu mawazo yako sio yetu njia zako ziko juu hazichunguziki na mawazo yako hayaelezeki waniwazia mawazo meme Bwana kunipa tumaini siku zangu za mwisho asante
Written by: Enos Manga0

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...