album cover
Pale
album cover
Pale was released on October 2, 2026 by 13381719 Records DK as a part of the album Pale - Single
October 2, 2026
Label13381719 Records DK
LanguageEnglish
BPM82
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Aahaa baby
Mie mwenzako siwezi lala kama ujanikiss my baby
Aahaaa baby
Ka moyo kangu kepesi mana usije ukanicheat nitadediiiii
Ooh nitadediiiii
Yani moyo wangu umechagua pale
Hao wengine mi sitamani
Yani huyu wa sasa mpaka baadae
Hata nikifa nizikwe nae
Yani moyo wangu umechagua pale
Hao wengine mi sitamani
Yani huyu wa sasa mpaka baadae
Hata nikifa nizikwe nae
Me and you my lover
Aahaaa
My lover my lover
My sweet my motorolaaaa
Me and you my lover
Aahaaa
My lover my lover
My sweet my motorolaaaa
Wakikufata fata wakitongoza
Waambie kwamba nina baby wangu
Maana siunajua penzi ni vitaaaaa
Na wenye vilanga langa wakijikweza
Waaminishe wewe wa peke yangu
Maana ukuta wa mapenzii nimeuegeshaaa
Yani moyo wangu umechagua pale
Hao wengine mi sitamani
Yani huyu wa sasa mpaka baadae
Hata nikifa nizikwe nae
Yani moyo wangu umechagua pale
Hao wengine mi sitamani
Yani huyu wa sasa mpaka baadae
Hata nikifa nizikwe nae
Me and you my lover
Aahaaa
My lover my lover
My sweet my motorolaaaa
Me and you my lover
Aahaaa
My lover my lover
My sweet my motorolaaaa
Anajua mapenzii anajua kupendana
Anajua kuenziii na katu hatuwezi kuachana
Sing along
Anajua mapenzii anajua kupendana
Anajua kuenziii na katu hatuwezi kuachana
Written by: Samwel Florian Samnamwande

Loading...